Matili Technical Training Institute

Service Delivery Charter

Matili Technical Training Institute

English Version

Service Point Service Rendered Cost Time
Main GateUshering in and directing Visitors (Visitors shall be registered in the visitors book)FREEOn arrival
Customer CareVisitors’ enquiries shall be responded to promptlyFREEPromptly
Principal’s OfficeAdministrative correspondence – office fully operational on all working daysFREE8 a.m. – 4 p.m.
Principal’s OfficeAll letters shall be replied to / All phones answered promptlyFREEWithin a week / Promptly
Principal’s OfficeRequested recommendations issuedFREE3 days
Deputy Principal’s OfficeAdministrative duties fully operationalFREE8 a.m. – 4 p.m.
Registrar’s OfficeAdmission upon arrivalKSHS. 500Within a day
RegistryRegistration upon submission of bank slipFREEWithin a day
Examination OfficeRegistration of National Exams (for trainees who paid)Per course2 weeks before deadline
Examination OfficeIssuance of time table / Results / Internal examsFREEBefore opening / Within 2 weeks to exams
Accounts OfficeReceipts upon bank slip presentationFREEWithin a day
Dean of Students OfficeBoarding facilities allocated first come basisFREEUpon payment receipts
Dean of Students OfficeIssuance of ID and Bed CardsFREE30 days / Within a day

Kiswahili Version

Huduma Maelezo Gharama Muda
Lango KuuKupokea na kuelekeza wageni; wageni kusajiliwa katika kitabu cha mapokeziBureAnapowasili
Huduma kwa WatejaMaswali ya wageni yatashughulikiwaBurePapo hapo
Ofisi ya KatibuNyaraka zote zitapelekwa kwa ofisi husikaBurePapo hapo
Mkurugenzi MkuuAfisi wazi siku zote za kazi (8:00am–4:00pm)BureKila siku za kazi
Nyaraka (Barua)Barua zote zitajibiwaBureWiki moja
Naibu Mkurugenzi MkuuAfisi wazi siku zote za kazi (8:00am–4:00pm)BureKila siku za kazi
Ofisi ya MsajiliWakurufunzi watajiliwa pindi wanapowasiliSh. 500Papo hapo
UsajiliWakurufunzi watasajiliwa baada ya kuwasilisha stakabadhi ya benkiBureSiku moja
Ofisi ya MitihaniUsajili wa mitihani ya kitaifa kwa waliolipiaKaro ya koziMajuma 2 kabla ya kufungwa
Ratiba na MatokeoRatiba na matokeo yatabandikwa kwa ubao wa matangazoBureKabla ya kufungwa
Ofisi ya UhasibuRisiti zinatolewa unapowasilisha stakabadhi ya malipoBureSiku moja
Ofisi ya MwanafunziVitambulisho na vitanda kutolewa baada ya malipoBureSiku 30 / Siku moja

Sign Language Version